TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Album Ya Jay-Z 4:44 Imefikia Mauzo Ya Platnum Ikiwa Bado Haijamaliza Week

Album mpya ya Jay-Z 4:44 ilitoka Alhamisi usiku June 29  na mpaka now bado haijamaliza week na imefikia mauzo makubwa ya Platnum kwa mujibu wa Recording Industry Association of America.

Jay-Z alikabidhiwa Certificate hiyo na RIAA Chairman and CEO Cary Sherman kwaajili ya mauzo yake ya album na kusema,"Props to JAY, he’s done it again! Another Platinum album adds to an already iconic career.

Jay-Z amekuwa Rapper ambaye peke yake ameshafikia mauzo ya Platnum kwa Album zaidi ya 10 kwa jina lake.

Kupitia mtandao wa Hypebot.com ambao ndyo uliachia album hiyo exclusive kupitia Tidal umeripoti kwamba kwa masaa 72 ya kwanza June 29 album ya Jay-Z ilikuwa imedownloadiwa zaidi ya mara 971,196,

Ambayo site hiyo hiyo iliripoti Album ya Drake More Life ilichekiwa mara 1.2 Million kwa siku tatu japokuwa iliachiwa kila mahali(Katika platform zote) tofauti na Jay-Z iliachiwa via Tidal Only for Exclusive


EmoticonEmoticon