TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

50 Cent Asema Haya Kuhusiana na Album Ya Jay-Z

50 Cent & Jay Z Mullastar
Baada ya ma Rapper kibao akiwemo Snoop,Kendrick na wengine kutoa maoni yao kuhusiana na Album ya Jay-Z ambayo imeshafikia mauzo ya Platnum,Hatimaye 50 Cent amekuja na comment kuhusiana na Album hiyo kwa upande wake.

Kupitia video aliyoipost Instagram rapper huyo ambayo ina caption,"I felt like I needed a pair of loafers 👞 on when I listen to jay shit. LOL🏌🏽golf any one !!!"50 ametokea kuisifia Album hiyo katika kipande cha video pia.

Katika sehemu kwenye kipande hicho cha video Fif anasema nimesikiliza Album ya Jay-Z 4:44,nilidhani iko powa,Nimeipenda,But I’mma keep it a hundred,album iko powa sana(too smart)".Baadhi ya maneno anayoyasema Fif katika video.Unaweza kuitazama yote hapo chini

Related Posts


EmoticonEmoticon

:)
:(
=(
^_^
:D
=D
=)D
|o|
@@,
;)
:-bd
:-d
:p
:ng
:lv