TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Rapper Eminem Amewazawadia Wanafunzi Zawadi Hii Hapa Katika Graduation

Rapper Eminem amewashangaza wanafunzi wa Diploma katika Chuo cha Dort Event Center baada ya kuwatumia salamu za pongezi na kuwapa zawadi ya Headphones za Beat By Dre kila mmoja kama zawadi kwao

TAZAMA VIDEO 


EmoticonEmoticon