Msanii Toka Nigeria Wizkid Alikuwa L.A katika kituo kimoja cha redio cha Real 92 na aliweza kufanyiwa mahojiano na akafunguka mengi kuhusiana na Muziki Africa,kufanya kazi na Drake,Ty Dolla Sign,Familia,Muda wake wa Ziada akipata anafanya nini,Vitu gani anapenda and so more.
Unaweza kuangalia baadhi ya maswali na vitu muhimu alivyokuwa akiulizwa bt Unaweza pia kuitazama video hapo chini kwa full Interview
1:We Ni kama Jay Z Pale Africa & Ulianza muziki ukiwa na Umri Gani?
“Me ni Wizkid na ninafanya vitu vyangu kidogo kidogo tu,na kama unavyojua mi ni mtu mdogo na mimi ni mtu ambaye sio serious(UNSERIOUS Guy) na nilianza kuimba muziki nikiwa na miaka 11 kanisani”
2:Ilikuwaje ukamwandikia Drake OnE Dance na tunajua Drake anayo tabia ya kuiba sauti za watu na kuziweka katika ngoma zake?
“Sipendi kuonglea michezo anayoicheza mtu mwingine napenda ku focus kwenye mambo yangu”
3:Ulivyopata Cm ya Drake na kukwambia mimi ni Drake Ulijiskiaje?
“Kwangu mimi sioni kama ni kitu kikubwa sana kwangu(big Deal) bt Shar out to Drake kwani mimi ni shabiki yake mkubwa”
4:Ukiwa na free Time unapenda kufanya Nini?
“Napenda kutulia peke yangu,naangalia movie nyingi bt movie yangu ya mwisho kuitazama ilikuwa,sio movie ni Tv show Queen Of South na pia naangalia vitu ving mchanganyiko”
5:Una miaka mingapi,Vp kuhusu familia ana watoto wangapi?
“Nina miaka 26 na nina vijana wawili na nina wapenda sana”
Alimaliza kwa kumpa sifa Rapper ambaye wamefanya naye kazi nyingi na kueleza jins gani anamkubali?
6:Una Ngoma ngapi ulizofanya na Ty Dolla Sign na Sound gan Dolla anayo mpaka umemkubali?
“Tunazo(Almost)Kama/ karibia track 20 na Ty Dolla Sign,Ni arist wa kweli,tumeingia studio tukafanya ngoma na tumesikiliza beat za kila aina kama za Hip Hop,Type za Beat toka kwa producer wangu za kiafrica.Ni Artist wa ukweli na mimi ni fan wake”
Hayo ni baadhi ya mambo aliyofunguka bt mengine aliyoweza kufunguka ni kuhusiana na na yeye kupenda sana kwenda viwanja kama Magic Cityambayo ni Strip Club iliyopo Atlanta,Pia hawezi kuongelea na kusema kama yeye ni msanii mkubwa Africa.
Pia Hawana ngoma nyingine na Drake pia waliyofanya bt zile ngoma mbili zilikuwa kama favour ya kumlipa kila mmoja wao ambazo zilikuwa ni One Dance ya Drake na Come Closer ya Wizkid.
Mixtape yake ya Sound from Otherside alifunguka pia wakati anafanyiwa mahojiano na Revolt TV kwamba itatoka July 7
TAZAMA FULL INTERVIEW HAPA
EmoticonEmoticon