TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Chris Brown Amezindua Rasmi Documentary Yake Ya Welcome To My Life (PICHA & VIDEO)

Hatimaye Kwa muda mrefu ilisubiriwa Documentary ya Chris Brown Welcome To My Life bt Now The Wait Is Over.

Siku ya jana June 7 Chris Brown alijiunga na mwanaye mwenye umri wa miaka 3 Royalty pamoja na mama yake ambaye ni Joyce Hawkins ili kuzindua Documentary hiyo.

Marafiki kibao wa Chris Brown pia waliunganika katika uzinduzi huo akiwemo,Diddy na Wanaye wawili Justine & Christian,Tyga, Kid Ink, O.T. Genasis, Kap G, K Camp, Trevor Jackson, na Jhené Aiko.

Documentary Ya Chris Brown Welcome To My Life Inategemewa kuonyeshwa katika Cinema kuanzia June 8 Mwaka huu.

Tazama Picha Na Video Chini











Tazama Trailer Fupi Ya Documentary 
Tazama Full Red Carpet


EmoticonEmoticon