TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Nas Asena Haya Kuhusiana Na Kutoka Kwa Album Yake

Nas amezungumzia ujio wake wa Album ya 11 ambayo imesubiriwa kwa muda mrefu kama alivyoiambia Billboard kwa Album yake lazima itoke mwaka huu.

Kupitia New York Times Nas amefunguka na kusema kwamba,"Wiki mbili,Kila wakati nimekuwa nikisema,nina week mbili tu nimalize album yangu".

Katika Interview nyingine Nas alisema We coming this summer, baby! It’s going to be a hot summer up here, man!” 

Stay Tune Nas Atataja Tarehe Kamili Ya Kudondosha Mzigo Wake


EmoticonEmoticon