TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Dj Khaled,Rihanna Pamoja Na Bryson Tiller Something Going On (PICHA)

Baada ya Bryson Tiller kukamata Record ya Namba moja katika Billboard 200 na album yake ya True To Self pamoja na Dj Khaled kutoa ngoma yake na Drake To The Max na kutangaza ujio wa Album,Now ni Time ya kujua Jambo gani linaendelea juu yao na Rihanna

Baada ya Dj Khaled ku confirm Rihanna atakuwa katika Album yake ya Grateful,Hatimaye now wapo Loction pamoja na Bryson Tiller katika kukamilisha collabo kwa upande wa video ambayo mpaka now hakuna jina la ngoma.



Album ya Grateful Itakuwa sokoni kuanzia June 23 



EmoticonEmoticon