TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Justine Bieber Ametupa Hii Good News.Stay Tune

Akiendelea kufanya powa katika chart za Billboard Hot 100 kwa kuwa na ngoma 3 Hot zinazofanya powa alizokula Collabo,Kuna good News ameitupa Justin

Siku ya June 6 Justin alitweet  katika account yake ya Twitter “New music. This Friday. Me and @davidguetta #2U,”(Muziki mpya ijumaa hii,mimi & David Guetta #2U)
But baada ya muda pia aliweza ku post majina katika account yake na David Guetta aka retweet post zote kuonyesha kwamba kuna ushirikiano wa Jambo fulani kati yao.
Mashabiki walichochukulia ni kwamba jina la ngoma Mpya ni 2U bt kwa upande wa hayo majina ni kuna uwezekano ni EP mpya labda ya David anayotarajia kuileta sokoni ambayo ngoma aliyofanya na Nicki Minaj pamoja na Weezy Light My Body Up ndyo iliyofungua Ep hiyo.


EmoticonEmoticon