TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Birdman Ataka Kuwa Executive Produce Katika Album Ya 50 Cent Ijayo

Birdman ametangaza rasmi kuwa anataka kutayarisha album mpya ya 50 Cent, na kwamba itaweza kuuza kopi milioni moja na zaidi.
Bryan “Birdman” Williams anasema amesha ongea na 50 Cent kuhusu mchongo huo ambao Birdman ameweka  wazi kutoa album kubwa ya hiphop na kuhakikisha inauza kopi milioni moja.
Birdman ameandika “Told [50 Cent] I wanna executive produce his next album, It’s guaranteed platinum plus.
Album ya 50 Cent chini ya Eminem na Dr Dre ‘Get Rich or Die Tryin’ iluuza kopi milioi 6 , The Massacre (5x), na Curtis (1x) na zingine zote zimefikia kopi miioni moja


EmoticonEmoticon