TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

VIDEO | Wizkid Amefunguka Tarehe Ya Kutoka Kwa Album Yake

Msanii Toka Nigeria anayefanya vizuri na ngoma yake ya Closer akiwa na Drake,ameconfirm taarifa za Album yake ya Sound From Otherside wakati alipokuwa akifanyiwa mahojiano

Kupitia BBC One Extra alifunguka na kusema baadhi ya watu watakaoshiriki katika collabo yake katika Album ni pamoja na Diplo na Trey Songz.

Wizkid amefunguka kuwa Album yake anategemea kuipeleka sokoni July 7 mwaka huu.
TAZAMA INTERVIEW HAPO CHINI


EmoticonEmoticon