TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

The Game Aichana Live Album Ya Damn Ya Kendrick Lamar

Drake ni mmoja kati ya ma rapper waliyotoa maoni yao kuhusiana na Album ya Damn ya Kendrick Lamar katika mauzo yake ambayo mpaka sahv bado inafanya vizuri upande wa Billboard 200 kwa kushika nafasi ya kwanza mpaka sahv

The Game ni mmoja kati ya rapper mwingine aliyeibuka na kuandika ujumbe katika ukurasa wa Instagram kuipongeza na kuisifia Album hiyo ya Kendrick bt 2 Weeks aliweza ku post kati ya mashairi ya ngoma ya Humbe na ku share Cover
A post shared by The Game (@losangelesconfidential) on
But siku ya jana aliweza kuweka post nyingine katika ukurasa wa Instagram kwa baadhi ya maneno yanamaanisha,"Hii ni kwangu mimi na Yeyote anayehusika,hii Album ni Dope As Fuck ndani ya damu, Kama wewe ni shabiki wa kweli wa Hip Hop  inakufaa ufikiri kuhusu hili,na kama wewe ni shabiki wa Hip Hop na hauna Album hii ya Kendrick Lamar basi Fuck You"Hayo ni baadhi tu ya Aliyoandika the Game bt soma hapo chini yote.

From me to whoever THE FUCK is concerned...... this album is a DOPE AS FUCK blood !!! & it's the Lil homie's 3rd LP.... if you are a true fan of HIP HOP, then you have it memorized by now !!! If you are a hip hop fan & you do not have @kendricklamar shit by now...... FUCK YOU, that's on Compton, Bompton & my hood & my kids.... my lil nigga raw as fuck & it been that way.... Dot I'm proud of you blood, Top.. you know what it is wit OG CHUCK homie..... I studied the album & im proud of this shit my nigga !!! K-Dot, you know where we from & what it took for niggas like us to not only make it out the HUB alive but to achieve greatness on the same accord is nothing short of a blessing..... this shit got me beyond motivated.. glad REAL RAP still exist.... no disrespect to you sucka niggas... but fuck y'all, you can't rap & ya mama know you ain't shit..... this COMPTON Shit ain't never been for play... I brought @DrDre back to the hood & showed him what is was on Cedar Block..... "WESTSIDE STORY" coming soon...... ✌🏾 #PacWouldBeProud #CaliforniaLove #WaitTiliGetOffHouseArrest #TheSummerIsMine #LosAngelesKing #ifYoureOffendedEatADick #illBeHumbleAnotherDay #ThugLife #TheBlackWallstreet #BloodMoney #HurricaneHasSpoken
A post shared by The Game (@losangelesconfidential) on


EmoticonEmoticon