Sio kwa Neyo tu ambaye ameifanya Remix bt hata Justin Bieber ambaye now anafanya powa kwa Collabo nyingi zilizopo Billboard pamoja na ngoma ya Despacito ambayo ipo namba 1,ameifanya remix ya Humble jukwaani akiwa.Sikiliza hapo chini
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon