Kupitia Snapchat Rick Ross ametangaza Album mpya ya Meek Mill ambayo itaitwa Jina la Win & Losses ambapo ngoma ya kwanza katika hiyo album tayari imeshatoka kwaajili ya ku push mzigo sokoni,inayoitwa Glow Up.
Katika video Rick Ross anasema,"Nimependa jina la Album mpya ya Meek Mill Win & Losses kwasababu ndyo inahusu hivyo unapofika mwisho unashinda sana ndyo hivyo utakavyopoteza,ndyo maana nawaeleza hakikisha umeipata."
Hii itakuwa ni Album nyingine ya Meek Mill baada ya Dream More Worth Than Money ya mwaka 2015 na Dreams and Nightmares ya mwaka 2012
But usisahau kuwa mwanzoni mwa mwezi huu Meek aliachia EP yake inayoitwa Meekend Music ambayo ilikuwa imecontain ngoma 3 na ilikuwa ni Birthday yake ya miaka 30 bt Tower yake na Yo Gotti inategemewa kuanza July 5 ambayo inaitwa Against All Odds
— Mulla Star (@mullastar255) May 25, 2017
EmoticonEmoticon