Baada ya I'M The One ya Dj Khaled kufanya powa pamoja na aliowashirikisha,Dj Khaled ameamua kumuongeza Star huyu wa kike katika list ya watakaoshiriki katika Album yake ya Grateful
Kupitia Account yake ya Instagram amemtangaza Rihanna kuwa atakuwa katika Album yake hiyo kwa kuandika,"THEYπ· SAID KHALED CANT GET @badgalriri Vocals !Tell THEYπ· I SAID HI π !!!!! @badgalriri VOCALS IS IN !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!l GOD IS THE GREATEST !!!!!!!!!!!!!!!! #FANLUV!!! Release date for #GRATEFUL SOON COME !! Real soon!!! @wethebestmusic@rocnation @epicrecords !!!!!!! ππ½ππΊπ¦ππ½ #BEREADY!!"
Hii ni baada ya Kuwatangaza Drake,Future na wengine katika shoo ya The Cruz ya kituo cha Redio Power 106
EmoticonEmoticon