Baada ya kuachia EP ya Step Brother March,hatimaye Rapper G Eazy ametangaza ujio mpya wa kitu kitakachofwata huku akiachia zawadi mpya ya muziki.
G- Eazy ameachia ngoma mpya ya Maximum ambayo imefanywa na Producer 9th Wonder ambayo imesindikiza good News yake iliyo katika ukurasa wa Twitter inayosema kwamba Album yake itakuja hivi karibuni.
SIKILIZA NGOMA YAKE MPYA HAPA
Huu ndyo Ujumbe Wake Wa Twitter
Just for fun... to hold you over... album coming soon...— G-Eazy (@G_Eazy) May 22, 2017
EmoticonEmoticon