Kama wewe ni shabiki wa Brandy basi tegemea kujua kuwa Brandy atatangaza kuwa ni mjamzito soon na anategemea ugeni.
May 22 kupitia ukurasa wa Instagram wa Brandy alipost picha ikiwa inamwonyesha kama tumbo lake ndani kuna anachokitegemea na post ilikuwa ina caption inayosomeka,"Dear God, I can finally see you in me. Continue to use me so that I may continue to know the joy of being used by you. I promise to cut back on my clap backs. #wink❤️ I love you"
EmoticonEmoticon