Baada ya kusema safari yake ya Muziki imekwisha,Rapper T.I kwaajili ya kukamilisha kile alichokisema kuwa ataachia Album kama tatu halafu ndyo aache muziki,kuna jipya kuhusiana yeye na Trey Songz.
T.I now anaandaa Album yake ya Kumi ambayo inaitwa Dime Trap na AGrand Hustle compilation ambazo anategemea kuachia mwaka huu.
Rapper T.I akifanyiwa mahojiano na XXL alieleza kwamba,"Mimi na Trey Songz tunatakiwa kufanya mzigo mmoja unaoitwa Lady Killers"
Aliongelea pia mzigo mpya alioufanya na Jeezy ambazo ni ngoma nyingi kama nne na project hiyo wameiita Dope Boy Academy
EmoticonEmoticon