Msanii Emanuel Elibariki maarufu kama Nay Wa Mitego amefunguka via mahojiano na BBC baada ya TCRA kufungia nyimbo za 15 za wasanii February 28 kwenye Radio & Tv.
Baadhi ya alichokisema Nay ni kwamba,"Naona kama hao wengine wamekuwa ni chambo tu na nia kubwa ilikuwa ni kwangu zaidi"
Full Audio Unaweza kusikiliza hapo chini
Ney wa Mitego kuacha muziki?— bbcswahili (@bbcswahili) March 1, 2018
Ni baada ya TCRA kufunga nyimbo za wasanii 10 Tanzania pic.twitter.com/WUsESDMSc2
EmoticonEmoticon