TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Msumari Wa Drake Waendelea Kushikilia Chart

Toka kwenye Scary Hours,Gods Plan ya Drake imeendelea kufanya makubwa katika chart za Billboard baada kushikilia nafasi ya kwanza kwa muda wa week 3 mfululizo.


Kwa Week hii ngoma ya Gods Plan imesikilizwa mara 79.6 million ndani ya US pekee,na imefanikiwa pia kukamata nafasi ya 1 kwenye chart za Mauzo (Digital Song Sales) kwa upande wa category ya radio songs imefanikiwa kukamata nafasi ya 17 na  imefanikiwa kukamata nafasi ya 1 katika category 2 ya Hot R&B/Hip-Hop Songs na Hot Rap Songs charts.

God's Plan ilishaweka history toka ilipotoka na kuvunja record kubwa ya kusikilizwa katika mtandao wa Spotify  na Apple Music kwa muda wa siku moja ilipotoka.

Full Top 10 Ya Week Hii Billboard Hot 100 
1. Drake – “God’s Plan”
2. Ed Sheeran – “Perfect”
3. Bruno Mars & Cardi B – “Finesse”
4. Camila Cabello feat. Young Thug – “Havana”
5. Post Malone – “rockstar”
6. Dua Lipa – “New Rules”
7. The Weeknd & Kendrick Lamar – “Pray for Me”
8. Migos – “Stir Fry”
9. Bebe Rexha & Florida Georgia Line – “Meant to Be”
10. Halsey – “Bad at Love”


EmoticonEmoticon