Baada ya kucheleweshwa kwa muda mrefu Documentary ya Cash Money,Right now Apple wenyewe wameconfirm ujio wa Documentary hiyo,
Before Anything(The Story Behind The Cash Money Records Empire) ambayo itakuwa kwenye Apple Music streaming platform Siku ya February 16 Ijumaa.Documentary hiyo itakuwa inaonyesha kwa undani maisha Bryan "Birdman" Williams kilichominspire mpaka kubadilisha maisha na kuamua kuanzisha Label mwaka 1991, na yeye pia ni Executive Producer wa Documentary hiyo.
Mwanzoni walitangaza itaingia sokoni mwanzoni mwa mwaka 2016 bt waka push mpaka May 2017 bt nayo pia ilipita mpaka Feb 12 wakatangaza tarehe nyingine ambayo ni Feb 16.
Tazama Trailer Hapo chini.
EmoticonEmoticon