Baada ya sex tape ya Black Chyna kuvuja na kutokea malalamishi mengi mpaka kwenda polisi na Mwanasheria wake kulaani kitendo hicho,Right now kuna headlines kuhusiana na Nani atakuwa amevujisha Tape hiyo na ilikuwa kwake peke yake.
Kwa vyanzo vinasema kwamba video hiyo ya Chyna lishootiwa July na hakuonyesha mtu yeyote na imeelezwa kuwa hakuna ushahidi wowote wa simu ku hackiwa na video kuvuja.
Ex-boyfriend aliyeconfirm kuwa yupo kwenye ile video Mechie amesema kwamba alitumia simu ya Chyna kushoot ile video July na hakuchukua copy kwenye cm yake but aliyokuwa nayo peke yake ni Chyna so anashindwa kuelewa imevujaje.
EmoticonEmoticon