TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Birdman Ameahidi Album Ya Lil Wayne Ataiachia Mwaka Huu Lazima(VIDEO)

Rapper  Birdman ameahidi Album ya Lil Wayne iliyokuwa inasubiriwa kwa muda mrefu ambayo ni Carter V lazima ataiachia ndani ya huu mwaka 2018.

Akiwa katika mahojiano amefunguka na kusema kwamba,"Mtaipata mwaka huu na ninawahakikishia mtaipata mwaka huu"

Birdman aliendelea kumwagia sifa Lil Wayne pamoja na Album hiyo kwa kusema kwamba,He is the best ever to me,mafanikio makubwa sana yamemjia chini ya mwavuli wake,nadhani itakuwa Album kubwa sana kwa mwaka 2018,moja kati ya, bila shaka It’s gonna be well worth the wait.


Tazama Full Interview Na Mengine aliyoyaongea Kuhusu Weezy


EmoticonEmoticon