TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Drake Ameahidi Kubwa Jingine Baada Ya Alichokifanya Kwenye Video Ya God's Plan (VIDEO)

Rapper Drake baada ya kufanya vizuri na video ya God's Plan na audio yake kuendelea kuumiza katika chart za Billboard Hot 100 kwa kukamata nafasi ya kwanza kwa Week ya 4 mfululizo,Right now Drake ameahidi kubwa lingine baada ya kuonyesha mchango na msaada mkubwa katika video.

Akiongea na TMZ amefunguka na kusema kuhusiana na alichokifanya kwenye video,"to be honest with you, Ni kutu kikubwa sana ambacho sikuwahi kukifanya katika maisha yangu"

Drake aliendelea baada ya kuulizwa kuhusiana na kuendelea kusaidia nje ya part ya video,I don’t know,Just keep helping. That’s it.”Alimaliza Drake


EmoticonEmoticon