TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Kanye West & Kim Kardashian Wamefanikiwa Kupata Mtoto.Barua Yao Kwa Mashabiki Soma Hapa

January 15 2018 Kim Kardashian na mume wake msanii maarufu wa HipHop Kanye West
walipata mtoto wao wa tatu na wakike.
Mastaa hawa Wametoa ujumbe wakisema,"Mimi na Kanye tunatangaza kuwa tumepata mtoto wa kike kupitia mwanamke mwingine ‘Surrogate’, amefanya ndoto zetu kuwa kweli, zawadi kubwa hii, sasa North na Saint watafurahia kuwa na mdogo wao wa kike Love Kim Kardashian West"
Mtoto huyu kazaliwa mjini San Diego anapoishi mwanamke huyu aliyebeba ujauzito wa Kim na Kanye West.


EmoticonEmoticon