TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

CHRIS BROWN & SCOTT STORCH Studioni Tayari Kwa Hili.Tazama Walichokiandika

Chris Brown na producer mkubwa duniani Scott Storch
wamezama studio pamoja wiki hii kwaajili ya kutayarisha muziki mpya wa Chris Brown,
Picha ya mastaa hawa wawili inawaonyesha pamoja na producer huyu akiwa na begi kubwa la bangi.
Kupitia account ya Scott aliweka picha hiyo katika account yake ya Instagram na kuandika,"I heard nothing but smashes tonight πŸ™Œ ! My man who I’ve known since he was 14 . To much talent πŸ’¨πŸ’¨. We about to get another few ! 2018 is just getting started 🎹🎢πŸ”₯@chrisbrownofficial."

Stay Tune cs siku ya Ijumaa Remy Ma anategemea kuleta ngoma yake aliyomshirikisha Chris Brown inayoitwa Melanin Magic


EmoticonEmoticon