ALBUM YA DIAMOND PLATNUMZ MPAKA MWAKANI
Msanii Diamond Platnumz anasubiriwa na ujio wa Album yake ya A Boy From Tandale na baadhi ya ngoma 5 mpaka right now zimeshakuwa Out.
Right now unaweza ku Order Album kupitia Platfom mbali mbali na Album ina ngoma 18 na Baadhi ya wasanii Waliofanikiwa kupata Collabo kwenye Album ya Diamond ni Young Killer, Morgan Heritage, Rick Ross, Ray Vanny, Miri Ben Air, Omarion, Tiwa Savage, Neyo, Davido, Flavour, P Square, Jah Prayzah, pamoja na Vanessa Mdee.
A BOY FROM TANDALE ALBUM inategemewa kuingia Sokoni January 12 mwaka 2018
EmoticonEmoticon