TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Gucci Mane Aamua Kufanya Unyama Huu Ndani Ya December Kabla Ya Mwaka Kuisha

Gucci Mane Is Ready For New Album
Rapper Gucci Mane amepanga kudondosha Album nyingine ndani ya mwaka huu ikiwa ni Album ya 2 kwa mwaka huu baada ya Mr.Davis na ni ya 3 ikihesabiwa na Project yake na Metro Boomin (Droptopwop) 

Kupitia Account yake ya Twitter siku ya Jumatatu Dec 11 ametioa tarehe kamili ya ku dondosha mzigo wake huo kwa kuandika,"#ElGatoTheHumanGlacier drops Dec22 produced entirely by @sizzle808MAFIA 10 songs in 2 days"
Akimaanisha Album yake ameipa jina la  El Gato the Human Glacier  na itatoka December 22 na ndani ya siku 2 zijazo atandondosha ngoma.


EmoticonEmoticon