Baada ya mashavu makubwa aliyoyapata Wizkid katika Album ya Jeezy Pressure kwenye ngoma ya 11.The Life,Jeezy amefunguka kuhusiana na msanii huyo toka Nigeria Wizkid via complex.
Jeezy amefunguka na kusema kwamba anafanya kazi na wasanii anaowaelewa na kuwahesimu akiwemo pia Wizkid na alisema kuhusana na Wizkid ni mmoja kati ya wasanii ambaye hakuwaelewa bt alivyomuona tu na kuwa naye person kwenye maongezi alishangaa.
“I Don’t Understand Wizkid, But I Respect Him”- US Rapper, Jeezyhttps://t.co/zjA6CYXkra pic.twitter.com/noO7ol9rgq— Mulla Star (@mullastar255) December 13, 2017
EmoticonEmoticon