TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Ngoma Ya Yo Gotti & Nicki Minaj Imefikia Mauzo Ya Platinum

Shot Out For Strip Club Anthem

Ngoma ya Yo Gotti na Nicki Minaj Rake It Up iliyofanyiwa mkono na Producer Mike Will imefikia mauzo makubwa ya Platinum huku kwenye Billboard ikiwa inakamata nafasi ya 9 kwa Week hii.

Kwa mujibu wa Recording Industry Association of America (RIAA)  wameitangaza ngoma hiyo kufikia mauzo ya Platinum(1Million)

Kupitia acoount ya Instagram ya Yo Gotti amefurahia mafanikio ya Strip Club Anthem kwa kuandika,"Good Morning! We STILL DOING NUMBERS! #IStillAM #RakeItUpPLATINUM 💿 S/o @nickiminaj x @mikewillmadeit"


EmoticonEmoticon