Tuzo za AFRIMMA 2017 Zilizofanyika October 8,zimefanikiwa kutoa washindi na moja kati ya aliyeiwakilisha Tanzania vizuri kwa ushindi mkubwa ni msanii Diamond Platnumz ambaye ameshinda katika kipengele cha Best Male East Africa.
Alichokiandika Diamond Platnumz katika mtandao wake wa Instagram,"Best East African Male 2014 / 2015 / 2016 / 2017....sio kwa sababu eti nina akili saaana, ila ni kwasababu ya Sapoti na Upendo wenu Mkubwa kwangu, pamoja na kupokea na kuridhika na kidogo niwapatiacho..... Nawashkuru sana 🙏 #Wcb4life"
TAZAMA FULL LIST YA WASHINDI
Best Male West Africa – Falz (Nigeria)
Best Female West Africa – Tiwa Savage (Nigeria)
Best Male East Africa – Diamond Platnumz (Tanzania)
Best Female East Africa – Victoria Kimani (Kenya)
Best Male Central Africa -C4 Pedro (Angola)
Best Female Central Africa – Nsoki (Angola)
Best Male Southern Africa- Cassper Nyovest (South Africa)
Best Female Southern Africa – Babes Wodumo (South Africa
Crossing Boundaries with Music Award C4 Pedro (Angola)
Best Newcomer -Nsoki (Angola)
Artist of The Year – Davido (Nigeria)
Best DJ Africa – Dj Spinall (Nigeria)
Best African Dj USA – Dj Tunez (Nigeria)
Video of The Year -Fally Ipupa – Eloko Iyo Congo
Music Producer of The Year – Julz (Ghana)
Best African Dancer – Ghetto Triplets Kids – Uganda
Song of The Year – Davido – IF (Nigeria)
Best Lusophone – C4 Pedro (Angola)
Best Francophone – Fally Ipupa (Congo)
Best Sound Engineer -Sheyman (Nigeria)
Best Collaboration -Wizkid ft Chris Brown – African Bad Girl (Nigeria & USA)
Transformational Leadership Award -Engineer Noah Dallaji
Best Rap Act -Sarkodie (Ghana)
Dancehall Act of The Year – Timaya (Nigeria)
Best Video Director – Daps (Nigeria)
Best Male North Africa- Amr Diab (Egypt)
Best African Dj – Dj Spinall (Nigeria)
Best Gospel Artist -Nathaniel Bassey (Nigeria)
Best Female North Africa – Amani Swissi (Tunisia)
EmoticonEmoticon