TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Nelly Mikonono Mwa Polisi Kwa Kosa La Kubaka

Nelly amejikuta mokononi mwa sheria baada ya malalamishi ya kubaka kufikia polisi.

Kwa mujibu wa TMZ wameconfirm kwamba taarifa zilizotoka polisi zinasema kwamba, mwanamke mmoja ametoa malalamishi kwamba amebakwa katika Tour Bus ya msanii huyo ambapo alikuwa anaelekea katika shoo yake ya ku perform.

Nelly alikuwa anaelekea katika shoo yake huko Ridgefield, Washington weekend hii siku ya jumamos usiku.

Imeelezwa kwamba kitendo hicho cha ubakaji kimefanyika Jumamosi Asubuhi saa 9 na Dk 48(3:48 AM) na mhusika mwenyewe amesema kwamba Nelly ndyo aliyemtendea kitendo hicho.

Kupitia upande wa Nelly ametumia ukurasa wake wa Tweeter Leo kujitetea  kwa kusema kuwa yeye ni Innocent na hajausika na kitendo hicho,ameandika," Let me say that I am beyond shocked that I have been targeted with this false allegation. I am completely innocent. I am confident that once the facts are looked at , it will be very clear that I am the victim of a false allegation."
KAMA ULIMIS STORY YA CHRIS BROWN IPO HAPO CHINI 


EmoticonEmoticon