Ty Dolla $ign ni moja kati ya wasanii waliopata Collabo nyingi sana ndani ya mwaka 2017 na ameamua kabla ya kumaliza mwaka kuachia project yake Beach House 3
Kupitia page yake ya Instagram ameweza ku confirm taarifa za ujio wa Beach House 3 kuwa itatoka October 27 chini ya Record Label yake Atlantic Records na kuachia cover ya project hiyo.Unaweza pia ku Pre-Order mzigo huo na soon utakapodondoka unaweza ukachomoka nayo.
Ty Ameandika,"October 27 #BeachHouse3 // preorder in bio"
Baadhi ya ngoma ambazo zipo out ndani ya hiyo Album mpaka wakati huu ni,Love You Better , So Am I , pamoja na ngoma 2 mpya zilizotoka September 20 ambazo ni
EmoticonEmoticon