Ndani ya Week ya 3 kwa Cardi B kuandelea kushika nafasi ya 3 kwenye Hot 100 za Billboard huku Post Malone na Rockstar akiendelea katika nafasi ya pili bt ingizo jipya ni kwa mwanadada Bayonce ambapo ameshirikishwa na J Balvin kwenye ngoma inaitwa Me Gente.
FULL Top 10 Hot 100
1. Cardi B – “Bodak Yellow (Money Moves)”
2. Post Malone feat. 21 Savage – “rockstar”
3. J Balvin & Willy William feat. BeyoncĂ© – “Mi Gente (Remix)”
4. Logic feat. Alessia Cara & Khalid – “1-800-273-8255”
5. Taylor Swift – “Look What You Made Me Do”
6. Portugal. The Man – “Feel It Still”
7. Imagine Dragons – “Thunder”
8. Demi Lovato – “Sorry Not Sorry”
9. Luis Fonsi & Daddy Yankee feat. Justin Bieber – “Despacito”
10. French Montana feat. Swae Lee – “Unforgettable”
EmoticonEmoticon