Msanii French Monatana amefunguka akiwa katika mahojiano na Billboard kuhusiana na yeye kupenda kutumia pombe wakati wa asubuhi na kuonglea kuhusiana na kuweza kuchanganya na kahawa,maziwa chochote unachotaka.
Kupitia Billboard alifunguka na kusema,"Ni idea yangu,napenda pombe na unaweza pia ukanywa hata asubuhi kwa kuhanganya na unaweza kuchanganya na chochote pia unachotaka kama, lemonade, root beer, cream soda."
French Montana anafanya hayo yote kwa kupitia kinywaji chake cha Ciroc Vodka French Vanilla
EmoticonEmoticon