TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tyga Aamia Kwenye Kuimba Baada Ya Rap Kuwa Ngumu

Baada ya mauzo mabaya ya Last Album ya Tyga ya Rap,Right Now Tyga ameamua kuamia kwenye kuimba na amekuwa akijitahidi kufanya mazoezi hayo na kuna baadhi ya nyimbo amesharekodi.

Kuna video mbili za Tyga zimepatikana akiwa katika mazoezi ya kuimba huku akijilaumu kwamba,Shit, I can’t sing. 

Rapper Tyga alishatumia ukurasa wake wa Twitter kuwaeleza mashabiki kuhusiana na ku dondosha Singing album itakuja karibuni, “Y’all think I’m playing,that singing album coming soon😄. Aliandika T Raw

Kupitia account yake ya Instagram ameweka video akiwa na moja kati ya kazi iliyokamilika huku akiimba.


EmoticonEmoticon