Baada ya Lil wayne kupata matatizo weekend na kuripotiwa ku cancel shoo,Right now mwanaye amefunguka kupitia account yake ya twitter na kusema kwamba hali ya baba yake right now iko powa.
Regina ameandika, “My dady is doing fine Everyone!Thanks for the Concerns,You Guys amazing."
My dad is doing fine everyone ! Thanks for the concerns๐๐ you guys are amazing ๐— Love me (@reginae_carter1) September 4, 2017
EmoticonEmoticon