TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Timbaland Naye amefanya Jambo Hili Baada Ya Swizz Ku Tease Collabo Yake Na Weezy

Battle Bado inaendelea kati ya Timbaland na Swizzbeatz na hii ni baada ya Last Week Swizz ku-tease collaboration yake na Lil Wayne,bt right Now Timbaland amefanya yake.

Timbaland ametease collaboration yake ambayo bado haijamalizika akiwa na rapper Meek Mill.Kupitia account yake ya Twitter ameweka video na caption,"@THEREALSWIZZZ So we're working on an album now, right?? What do you think, fans? I'm still working on my craft. @MeekMill let's finish up."


EmoticonEmoticon