TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Tegemea Jambo Jipya Toka Kwa Tory Lanez & Future

Tory Lanez toka Toronto ametumia ukurasa wake wa Instagram kuwajulisha mashabiki juu ya jambo alilonalo na Rapper Future.

Kupitia video Tory ameshikilia cover ya ngoma ambayo yupo na Future huku anasema,I can’t wait till this shit drop,”

Ngoma ambayo itatoka soon akiwa na Future inaitwa Real Thing.


EmoticonEmoticon