TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Lil Wayne Hali Yake Imekuwa Powa Na Amerudi Studio

Baada ya Lil Wayne kuripotiwa na mwanaye kuwa hali yake iko powa,Right now Rapper huyo amerudi studio live kwaajili ya kufanya kazi na collabo.

Kupitia ukurasa wa Lillard ameweka picha yake pamoja na Lil Wayne na kuandika,#Confirmed … @liltunechi.”
A post shared by Damian Lillard (@damianlillard) on

Post nyingine ameonekana akiwa studio na Legend Producer Scott Storch ambayo ilikuwa ina post yenye caption,My boy from back in Miami @liltunechi now he’s healthy and we making some #hits in Los Angeles ðŸ’¯ðŸŽ¹ðŸ”¥.”


EmoticonEmoticon