TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Dave Easter Amefunguka Jambo Kubwa Kuhusiana Na Chris Brown

Rappe Dave Easter amefunguka via mahojiano ya Rap Up Tv kuhusiana na Jambo kubwa alilonalo yeye na mwanamuziki Chris Brown.

Kupitia mahojiano hayo Dave amefunguka na kusema,"Mimi na Chris tunazo kama ngoma 3 bt kwa sasa hivi tuna mzigo mpya me na yeye tukiwa na Kap G ambao utakuja karibuni na unajulikana kwa jina la ‘Bentley Truck.'”


EmoticonEmoticon