TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Dj Mustard Afunguka Kuhusiana Na RJ Pamoja Na YG

Dj Mustard anayefanya powa na project yake ya Last Year Cold Summer,amefunguka kuhusiana na mwaka huu hatotaka kuwaacha mashabiki wake bila chochote.

Kupitia page yake ya twitter amefunguka kwa kuandika kuwa atadondosha collabo yake na RJ kabla ya mwaka huu kuisha,Ameandika,"Mustard x RJ ... collab project be4 the years over !!!!!!"
Lingine pia aliloweza kufunguka ni kuhusiana na Daily anafanya kazi na Rapper YG kwa kuandika,"O yea and me and @YG In the studio everyday !!!! "


EmoticonEmoticon