TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Dj Khaled Ku-Host BET HIP HOP Awards 2017

Producer Dj Khaled ameendelea kung'ara baada ya kupata nafasi ya ku host BET Hip Hop Awards ya mwaka huu ikiwa ni mara yake ya pili kuchaguliwa baada ya mwaka jana kufanya jambo hilo hilo bt kumbuka pia ni Mmoja kati ya wanao Leads kwenye kinyang'anyiro cha tuzo hizo mwaka huu.

Kupitia page ya Dj Khaled pia ameweza kufurahia jambo hilo kwa kuandika,"@bet @hiphopawards IN MIAMI !!! IM YOUR HOST! KHALED KHALED,"
Katika press release Khaled alifunguka kwa kushukuru jinsi gani amepata nafasi hiyo na anatarajia kuona usiku wa ajabu kwa muziki wa Hip Hop na performances,I am so excited to host the BET Hip Hop Awards for a second year,Hip Hop Awards 2017 is going to be major!

Dj Khaled,Kendrick Lamar na Cardi B ndyo wanao Leads tuzo hizo za Bet Hip Hop Awards kwa mwaka 2017 ambazo zinategemewa kufanyika October 6 Ndani ya Miami na itakuwa On Air October 10 


Announcement ya BET ndyo hii hapa akiwa anatangazwa Host ambaye ni Dj Khaled


EmoticonEmoticon