Rapa Lil Wayne amepatwa na mshtuko wa kifafa na kuwaishwa hospitalini mjini Chicago jumapili hii.
Lil Wayne alikutwa amepoteza fahamu kwenye chumba cha hoteli mjini Chicagokutokana na kuugua Kifafa.
Kutokana na order ya Daktar Wayne alitakiwa abaki hospitalini na ku cancel shoo ambayo alikuwa anatakiwa kuifanya ndani ya Las Vegas
Kutokana na order ya Daktar Wayne alitakiwa abaki hospitalini na ku cancel shoo ambayo alikuwa anatakiwa kuifanya ndani ya Las Vegas
Lil Wayne amewahi kukutwa na mishtuko ya Kifafa zaidi ya mara mbili akiwa kwenye ndege na kwenye mishe zake za kazi za muziki.
EmoticonEmoticon