Amber Rose amejibu tuhuma zinazozagaa za kuachana na mpenzi wake 21 Savage
Amber amekanusa tuhuma hizo za kuachana na rapper 21 Savage kupitia mtandao wa The Shade Room hivi karibuni, na kusema yeye na rapper huyo bado wana mahusiano.
Amber amesema,"Bado tupo pamoja,na nili unfollow watu zaidi ya 100 na kum unfollow yeye ni kama ajali tu It’s back up now”
Ametoa na sababu za kufuta picha za 21 katika account yake kwa kusema kwamba, “everybody was going in on my baby and I didn’t like that.”
EmoticonEmoticon