TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Mauzo Ya Album Katika Chart Kubwa Za Billboard Kwa Week Hii.

Kila week kuwa update kwa kujua ngoma na Album zilizofanya powa katika chart kubwa za muziki Billboard.

Kwa week hii hapa anayeshikilia nafasi ya kwanza ni Lil Uzi Vert kwa kuuza copy 135,000 kwa week ya kwanza.Kupitia account yake ya Twitter ameandika,"The Ones That Support Me ThankYou .... Yall Ugly πŸ€˜πŸΎπŸ₯‡lol #LuvIsRage2"
Mauzo ya Album na Nafasi katika Week hii ni kama yafuatayo. 
1. Lil Uzi Vert – Luv Is Rage 2 – 135,000
2. XXXTentacion – 17 – 87,000
3. Queens of the Stone Age – Villains – 73,000
4. Fifth Harmony – Fifth Harmony – 46,000
5. Kendrick Lamar – DAMN. – 45,000
6. A$AP Mob – Cozy Tapes, Vol. 2: Too Cozy – 41,000
7. Old Dominion – Happy Endings – 41,000
8. Khalid – American Teen – 33,000
9. Kodak Black – Project Baby 2 – 33,000
10. The War on Drugs – A Deeper Understanding – 31,000


EmoticonEmoticon