TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Future,Dj Khaled & G - Eazy Wapokea Tuzo Za BMI R&B/Hip-Hop Awards

August 31 ,Rapper Future,Dj Khaled,G - Eazy pamoja na Metro Boomin walifanikiwa kuwa moja kati ya watu walioondoka na tuzo hizo zilizofanyika ndani ya The Woodruff Arts Center’s Symphony Hall.

Rapper Future alifanikiwa kuchukua tuzo ya Songwriter of the Year akiwa ameandikia ngoma kama,Do You Mind,” “Jumpman” akiwa na Drake, “Low Life” akiwa na The Weeknd and Wicked.”

Future pia alichukua muda wake kuwashukuru mashabiki katika ukurasa wake wa Twitter kwa kuandika,"Thanks BMI...the fans always pushing me in the perfect direction,Forever Loyal 🦅"
Dj Khaled alifanikiwa kuondoka na Tuzo kupitia nyimbo zake ambazo ni “Do You Mind” akiwa na  Nicki Minaj, Chris Brown, August Alsina, Jeremih na Future, na “For Free” akiwa na Drake

G - Eazy alifanikiwa kuondoka na tuzo ya R&B/Hip-Hop Song of the Year, huku Metro Boomin akiondoka na tuzo ya R&B/Hip-Hop Producer of the Year.

Metro Boomin ndani ya mwaka huu amefanikiwa kufanya moja kati ya Hit song Mask Off ya Future iliyofanikiwa kufanya powa kimauzo. 

TAZAMA FUTURE AKIPOKEA TUZO


EmoticonEmoticon