Baada ya mafanikio makubwa ya ngoma yake ya Bodak Yellow ambayo inashikilia nafasi ya 3 katika chart kubwa za Billboard na mpaka now imeshafanikiwa kufikia mauzo ya Gold According to RIAA,Right now Cardi B ameongelea Album yake.
Cardi B akiwa katika Performance huko Philadelphia weekend hii,alitangaza tarehe ya kuja kwa Album yake,“Thank you everybody, it was fun,Let me remind you, I’m dropping my album in October. Bye!”Alitangaza Cardi B
Tazama video hapo chini.
OCTOBER. pic.twitter.com/FURxhdvwiE— Daily Cardi (@DailyCardi) September 3, 2017
EmoticonEmoticon