Cardi B akiwa na Pressure ya kuachia Album huku akisherehekea ushindi wake Billboard,Right now kuna Headlines kwamba album yake haitatoka kama ilivyopangwa mwanzoni.
Kupitia interview na Billboard alifunguka na kusema kwamba,"Nilitaka kutoa ngoma yangu ya pili na album bt bado sijaridhia kutoa album cs watu wengi wamekuwa wakiniambia nitoe like My dude [Migos’ Offset] keeps telling me to drop it,na nilitaka niiachie October bt nadhani nitaitoa November."
Cardi B amepanga kudondosha Freestyle kusheherekea kwa mara ya 1 kukamata nafasi ya kwanza Billboard na ni kabla ya kuachia Album yake November
EmoticonEmoticon