TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Rapper Young Thug Mikononi Mwa Polisi Kwa Kosa Hili Hapa

Headlines zilizopo mitandaoni na full details ni kwamba rapper Young Thug yupo mikononi mwa polisi baada ya kukamatwa na makosa last weekend.

Kwa mujibu wa TMZ taarifa zinasema kwamba Rapper huyo amekamatwa kwa makosa mawili last weekend siku ya jumamosi baada ya kupatikana na Bangi pamoja na kuwa na tinted katika gari lake kwenye kioo cha mbele.


EmoticonEmoticon