TUMIA BIDHAA BORA ZA AZAM BAKHRESA

Taylor Swift Amtumia Zawadi Cardi B Kwa Kushika Nafasi Ya 1 Billboard Hot 100

Kwa kile kitendo kilichochukuliwa kama Shots kwa Taylor Swift baada ya Cardi B kuimba nyimbo ya Look What You Made Me Do huku akifurahia ushindi wa kukamata namba 1,Right now kuna heaadlines kwamba Taylor Swift amekanusha shouts hizo kwa kumtumia Cardi B zawadi ya kumpongeza.

Kupitia account ya instagram ya Cardi B ameandika,"Sooo beautiful and lovely .Thank you @taylorswift for the flowers 💐❤️❤️....and I freaking love your music 🎶"

Ngoma ya Taylor Swift right now ipo nafasi ya 3 na juu yake katika nafasi ya pili inafwatiwa na ngoma ya Rockstar ambayo ni ingizo jipya kwenye chart hizo za Billboard Hot 100 


EmoticonEmoticon